Rihanna amethihirisha bado anarun na ni queen wa Barbados Jumatatu iliyopita, Muimbaji huyo wa ngoma ya “Diamond” alirudi kwao kwenye visiwa vya Barbados kwa ajili ya tamasha linalofanyika kila mwaka linaloitwa “The Kadooment Day parade”
Alivaa nguo kwenye tamsaha hilo ambayo dah! Diamond sparkly bra, iliyofanana na underwear na nyoya kubwa kichwani na lingine kama bawa, na mwanaume yeyote rijali ukimuona Rihanna katika picha hizi lazima usisimke…ni noma