Wakati sisi tunamchukulia Poa Wakati Mwingine mcheza Kikapu wa Tanzania Anayechezea Oklahoma City Thunder Ya Marekani sivyo wamchukuliavyo watu wengine wanaojua maana ya matu muhimu na Star kwao.
Mchezaji huyo wa Manchester United Robin Van Persie Amepost Oicha katika matandao wake wa Picha Instagram akiwa amepiga picha na Mcheza kikapu huyo mrefu sana kutoka Tanzania na kuonyesha kufurahia kukutana nae.
Na hivi ndivyo alivyoandika baada ya Kupost Picha Hiyo