Mbunge wa Urambo ambaye pia ni waziri wa Afrika Mashariki Mhe.Samweli Sitta amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba baada ya kupata kura 487 na kumshinda mpinzani wake bwana Hashimu Rungwe aliyepata kura 69.