
Karibu wanasaa 100 kutoka nchi 30 walialikwa na mwanasanaa wa Kifaransa ambaye anaishi Tunisia Mehdi Ben Cheikh kuwa sehemu na hatua kufanya wilaya ya Erriadh iliyopo Tunisia katika kisiwa kinachojulikana kama Djebra kuwa “open sky mesium”.
Kijiji cha Erriadh ni moja ya kijiji cha zamani, sehemu ambayo Wayahudi, Waislamu na Wakristo wameishi pamoja kwa karne.
