
Lile kundi la Shostezee linaloundwa na wasichana watatu akiwemo salma Mahin,Menynah Atick na Nuru ambalo lipo chini ya Lamar linatarajia kuja na Reality tv Show yao.
Lamar alifunguka kupitia ukurasa wake wa tweeter kwa kuandika “Shostezee Reality Tv Show on your Tv Soon”
Kwa mtazamo wangu ni wazo zuri sana. Ukizingatia kundi hili ni la vijana wakike wadogo “Tenagers” na kama tunavojua vijana wa aina hii walivokua na shughi nyingi na zaidi ya hapo ni wasanii watu maarufu pia ni wanafunzi hakika kitakua ni kitu kizuri kwa vijana wanzao kama wao na zaidi.
