
“Ni kweli nasikia mengi mtaani na wengine wanatukana wakisema eti sisi ni wahuni au tupo kwenye mapenzi, ingawa ukweli ni kuwa tupo kwenye filamu zaidi.
“Mimi ni msanii, hivyo kuambiwa nicheze filamu kwangu ni kwepesi zaidi, ndio maana naomba wadau na mashabiki wangu waelewe kuwa sipo kwenye mapenzi na Kala,”
alisema.
Hata hivyo Dayna hakuweza wazi ni filamu gani anayocheza na Kala, huku akisema kuwa mwenye uwezo wa kuizungumzia zaidi ni muandaaji mwenyewe Kitale.
