Jaya Akiwa Na Baba Yake Alipokuwa Mdogo
Kama hauna habari kwamba mkongwe wa R&B duniani R. Kelly anabinti ambae alibadilisha jinsia ambae alizaa na mke wake aliyeachana nae nyota wa Hollywood Axes, Andrea Kelly .
Mtoto huyo mwenye miaka 14 Jaya Kelly kwa sasa anaitwa Jay baada ya kuweka wazi kuwa alikuwa mvulana toka alipokuwa na miaka 7.
Alitupa nguo zake za kike na na kukata nywele zake. Jay alikubali kwamba baba yake siku za karibuni aligundua kuhusu kujibadilisha kwake kuwa mvulana lakini mama na dada yake walikuwa wanajua na walimsapoti.
R.Kelly anaweza kujua kwamba binti yake sasa anajiita mvulana lakini unamuia vigumu kulielewa swala hili. Alipoulizwa kuhusu swala hilo wakati akipiga stories na WCGI Summer Jam wiki hii, R.Kelly aliwazima maripota alimtaja Jaya kama mtoto wake wa kiume.
“Sawa, kwanza ya yote usianze kwa kumuita mtoto wangu wa kike mvulana, kivyvovyote inavyohusika kila wakati amini unachokiona na macho yako hilo ndo swala, hiyo ndio njia nzuri ya kufanya hii biashara, nimesikia mambo kibao kuhusu watu wengi na haikuwa kweli” alisema R.Kelly
Picha Nyingine Za Jaya