Ameshakutana na mastaa wakubwa sana mpaka sasa akiwemo Malkia wa watangazaji Duniani Oprah Winfrey tangu awe mshindi wa tuzo kubwa yenye heshma duniani Oscar, Lakini Kukutana Na mwanamuziki Beyonce Muigizaji wa holiwood mkenya lupita nyong’o ndio kama ndoto yake imetimia zaidi
Anasema alikua haishi kupiga kelele kimoyo moyo na bado anajisikia hali hiyo baada ya kukutana na dada huyo mwenye nguvu na ushawishi mkubwa sana duniani
Lupita Alipata nafasi ya kukutana na Msanii Huyo katika party ya Met Gala Jumatatu usiku na wote wakashare picha hizo insta huku Lupita Akiandika
Huku Bey yeye akipost tu bila kuandika chochote kama ilivyo kw kawaida yake mara nyingi kupost picha bila kuandika chochote
Story Kwako Ni?