
Jada Pinkett Smith Na Mumewe Will Smith wamekuwa kwenye mahusiano yao kwa
miaka 20 sasa tangu walipokutana mwaka 1995 na kufunga ndoa December 1997
Lakini pamoja na kuwepo katika mahusiano hayo kwa miaka yote hiyo mapenzi yao yanaonekana kama ya siku ya kwanza kukutana
Hayo yalidhihirika siku ya jana wakati wa uzinduzi wa Movie Mpya ya Will Smith ‘FOCUS’ ambapo wanandoa hao walipigana makisi ya hadharani yenye kuonyesha uhalisia wa penzi lao
Kuna Kipindi kulizuka tetesi ya kuwa wawili hawa wana aina ya maisha ambayo watu wengine hawayawezi, ya kwamba kwa kawaida Will Smith akitaka kuchepuka humuomba ruhusa mkewe Jada na humruhusu baada ya kuona mchepuko ulivyo, tetesa ambazo mara zilisema ni kwasababu wawii hawa hawakuwa sawa ndani ya penzi lao…
lakini hayo husemwa tu ukweli wanao wenyewe maana kuna siri kubwa sana kati ya watu wawili kwenye mahusiano
