Maelfu ya waandamanaji wameingia barabarani mjini Paris hii katika maadhimisho ya mwaka mmoja wa kuwa madarakanai Rais Francois Hollande wakimshutumu kwa kuupa kisogo siasa za mrengo wa kushoto.
Sijawahi Kusoma Chuo Kikuu, Bilionea Mwanamke Muafrika Awafungukia Wanafunzi Wa Chuo, Asema Haiihitaji Elimu Ya Chuo Kufikia mafanikio.