Tanzania Yashika Nafasi Ya 16 katika ubora huo, Wasichana wa Ghana wanafuatia katika nafasi ya tatu, kulingana na Ranker,Baada ya wasichana wa Ghana , wanafuatia wa Misri, Eritrea, Ethiopia, Morocco, Kenya, Rwanda na Shelisheli- zote zikiwa kwenye 10 bora ya nchi za Afrika Zenye wasichana wazuri.
Wasichana wa Somalia ndio Wanaoongoza kwa uzuri barani Afika Wakifuatiwa na wale wa Djibout, kulingana na Mtandao wa Ranker.
mkiani mwa nchi 54 za Africa katika uzuri huo, ni Jamhuri ya Arica ya Katti(CAR) Hii ina maana kuwa wanawake wa CAR ndio “wabaya” zaidi barani Africa. Ukiondoa CAR , nchi nyingine zilizo 10 mkiani ni jamhuri ya congo (53),swaziland(52), Guinea Bissau,51;Burkinafaso,50;Equatorial Guinea,49; Malawi,47,Lesotho,48 , Chad , 46 na Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo, 45. Upigaji Kura ulikuwa Ukifanywa kwa wanaotembelea mtandao huo kuweka vema Katika “kupenda” au “Kutopenda” Katika picha zilizowekwa za warembo wa nchi hizo za Afrika .
Mrembo anayewekewa alama ya Vema nyingi za “KUPENDA” Ndiye anayeipandisha nchi yake juu katika Kura hizo.