
Jionee Uzuri wa Nchi ya Tanzania japo watanzania wenyewe tumeshindwa kuutambua wageni wanalitambua, Hiki Ni chumba Cha kwanza AFRICA kujengwa Chini Ya maji , Huu ni mtindo wa ki swedish uliotambulishwa katika visiwa vya pemba ‘The Manta Resort’
Malipo yake ni dolare 900 kwa single na kama mpo pea na mambo haya ya holiday, honeymoon ya kukumbukwa ni dolare 1500 tu, unapata wasaa wa kufanya yako na viumbe wa bahari huko chini peke yenu hakuna kelele za kunguru wala viumbe wazit.
Jipange
ONA
Mteja huyooo akielekea Chumbani chini ya maji
Panavyoonekana The Manta Resort Pemba Tanzania
Ehee Chumba chenyewe sasa hichi hapa, baba ndani akimuangalia mama akicheza cheza nje hapo
Yani ni raha baba pale juu akimtazama mama aki zamia majini, ni wao wenyewe na viumbe Majini
Kionekanavyo Chumba kwa mbali
Humo ndani ya Room ukiangaza angaza majirani zako wanavyopita kutoa salaaaaam
Ehee Hao ndio wanakuwa marafiki zako kwa muda utakaoishi humo
wakati ndio huu mabibi kwa mabwana, holiday end of the year usisubiri kuhadidhiwa huko watu ndipo wanapokula maisha mjini hapa kelele za Honi na kina Mwajuma ndala ndefu uwamiss kidogo.
Happy Holiday
