
Tazama Picha nyingine za Nick Minaj alizotoa ikiwa ni katika ku promote video yake mpya ya ANAKONDA , hakika wanaume wengi watavutiwa na video hii ambayo maudhui yake zaidi na makalio ambayo amejitahidi sana kuyatumia katika picha zake kuhamasisha video hiyo
