Tazama Picha Za mwisho mwisho za mcheza filamu na mchekeshaji wa HollyWood Robin William siku moja kabla hajaamua kujitoa uhai kwa kujinyonga akitumia mkanda nyumbani kwake Califirnia,
Robin alihudhuria reception ya Art Gallery iliyofanyika karibu na nyumbani kwake huko Francisco Bay Area, Robin Alikuwa ameongozana na mke wake katika Shughuli Hiyo
Mke Wa Robin ametoa taarifa jana kuwa mumewe alishaanza kuugua maradhi ya msongo wa mawazo japo ilikuwa ni katika hatua za awali na mwenyewe hakupinda kushirikisha ulimwengu katika maradhi yake hayo