
KIOTA KIPYA CHA BURUDANI KUZINDULIWA IJUMAA HII OCT 29, NI TIFFANY DIAMOND HOTEL&SPA (CLUB TIFFANY), KIINGILIO KIKIWA BUKU KUMI TU NAMAANISHA BUKU KUMI TU UNAKUTANA NA CLASS PEOPLE MAHALI CLASS KATI KATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM MTAA WA MOROGORO NA INDIRAGAND GHOROFA YA KUMI HUKU UKIPATA WASAA WAKUTAZAMA JIJI KATI KATI KUTOKA JUU KABISA.
UZINDUZI UTAKUWA NA DISCO KALI TOKA KWA TALENT SURVIVE DJ TASS KUTOKA MAGIC FM NA 24DJs KWA WALE WAHUDHURIAJI WA SAVANNAH LOUNGE WANAELEWA NAONGEA NINI.
PIA UZINDUZI UTASINDIKIZWA NA FASHION SHOW SAFI TOKA KWA MBUNIFU MKONGWE ASIA IDOROUS NA MAMODEL WAKALI WENYE MBWEMBWE NDANI YA RUN WAY WAKIONGOZWA NA MR DAR 2013.
VINYWAJI VYA KILA AINA UKIHITAJI MSOSI UPO PIA KAZI KWAKO NDO UJE TUJIMWAYE MWAYE MITAA YA WAJANJA WA MUJINI KATI KATI YA JIJI TIFFANY DIAMOND HOTEL & SPAR (CLUB TIFFANY)
