Albamu ya mkali wa tongue twister mameeen Twista ametoa cover la albamu yake inayokuja ya Dark Horse pamoja na ngoma zainazopatikana kwenye albamu hiyo pia tayari inapatika kupitia streaming.
Twista amepanga kuachia albamu hiyo inayoitwa Dark Horse Agosti 12 taarifa za Best Buy zilieleza.
Kati ya nyimbo kutoka katika albamu ya repa huyo kutoka Chicago ni It’s yours ambayo amemshirikisha Tia London ngoma ambayo imetengezwa na mshirika wa siku nyingi Mkongwe Traxster.
Twista alikuwa akizungumzia Dark Horse toka mwaka 2012 wakati yeye na Traxster walipokuwa Los Angeles wakiwa wanafanyia kazi project hiyo.
Ngoma zinazopatikana katika albamu ya Dark Horse ni:-
1. The Dark Horse
2. I Am Such a Mobsta
3. Devil’s Angel
4. Beast
5. Getting Paper
6. It’s Yours
7. One More Joog
8. Crisis
9. Burnin
10. Want My Love
11. Nothing Like Me
12. Me and You
13. 6 Rings
Twista Ataja Tarehe Ya Kutoka Albamu Yake Ya “Dark Horse” Aonyesha Cover Na Ngoma Zinazopatikana
Next Story