Kuwa Mrembo si kupaka poda tu na kusubiri wanaume wakutongoze ndio upatie maisha hapo, kama wengi wao wafikiriavyo,
Urembo ni nafasi nzuri ya kukufanya kuwa kwenye nafasi muhimu zaidi duniani hivyo ndivyo afanyanyo mrembo wa mashindano ya urembo ya TANZANIA kwa Mwaka 1999 Hoyce Temu Ambaye pia ni mtaalam wa mahusiano na mawasiliano wa umoja wa mataifa (UN) tanzania, mara hii ni baada ya kuhitimu shahada ya uzamili na Mawasiliani Katika chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza.
Hoyce Temu katika pozi mbali mbali na wahitimu wenzake