
Usicho kijua ni kama usiku wa giza, ni sawa Kibongo bonge uje alafu uende beach ambayo maji machafu ya Dar yanaelekezewa hapo, mfano labda kama pale ocean road linapoonekana bomba ambalo linaingiza maji machafu baharini alafu kuwe na beach karibu.
Wakati Rihanna akiwa Brazili katika kombe la dunia, alienda katika beach inayoitwa Urca beach ambayo kwa sasa inaripotiwa kuwa ni kati ya beach chafu kwa sababu uharibifu wa amzingira.
Inaripotiwa kwamba hakuna mtu anakwenda katika hiyo beach ambayo watu wanaiita beach mavi kwa sababu sehemu kubwa ya maji machafu ya chooni yanaelekezewa pale. Haaaa haaaaa hiyo ndo maana yeye ni Rihanna hajali!!
