HII NDIO RELEASE MPYA YA BIEBER PAMOJA NA KUWA KWENYE MISUKO SUKO YA MASHTAKA POLISI HUKO KWAO TORONTO NA MIAMI , LABDA UTOAJI WA RELEASE MPYA UNAENDA SAMBABA NA MATUKIO HAYO ILI NGOMA KUHIT,
HATA HIVYO BIEBER ANAWEZA KUFUNGWA KAMA ATAPATIKANA NA HATIA HUKO MIAMI HUKU AKIPATA WAKATI MGUMU MWINGINE BAADA YA WAZAZI WA NCHINI MAREKANI WAKIITAKA SEREKALI IMRUDISHE KWAO KWA KUHOFIA KUHARIBU WATOTO WAO