
Siku ambayo Wema Sepetu alifturisha nyumbani kwakwe maeneo ya kijitonyama Jijini DarEsSalaam, Pamoja na kwamba aliwaalika Ndugu na Marafiki zake Pia alipata bahati ya kuteremshiwa Duah Na mtoto Mdogo Mwernye uwezo mkubwa katika maswala ya Duah, Tunaamini Duah Inayosomwa na Mtoto mara nyingi hupokelewa kwa haraka Zaidi na kwa urahisi, Nadhani wema alilitambua hili na ndomaana alipendelea mtoto ndio amsomee Duah
Unaweza itazama Duah Hiyo hapo Juu
