Ama kweli hakuna marefu yasiyokuwa na Ncha, sasa naamini ya kuwa Dunia Imeamua kupiga vita madawa ya kulevya kwa kuamua ku deal kwanza na Ma don wale wenyewe wakubwa ambao walishindikana katika kila nyanja.
Hii ni baada ya BOSS Mtu hatari, mashuhuri na mwenye nguvu zaidi Duniani katika biashara ya ya madawa ya kulevya kutoka Nchini Mexico Sinaloa Cartel Chief aka ‘Chapo’ Guzman Kukamatwa baada ya zaidi ya miaka kumi aliyokuwa akitafiutwa
Vyombo vya usalama vimesema Mtu huyo hatari alikamatwa wakati wa operations mstukizo huko Mexico beach Resort kwenye Hotel ambayo ipo kwenye ukanda wa Bahari kwenye Condo yake alipofikia
Nadhani hizi sasa ni Nyakati za mwisho Mashetani wanashidwa kufurukuta kwa mtindo hoo hali ni mbaya kwa nini bado hatujifunzi???