Wanandoa John na Betar kutoka marekani wamekuwa binadamu wengine kutajwa kuishi Katika Ndoa Kwa muda mrefu bila kuachana
Ndoa yao imedumu kwa miaka 81 baada ya kufunga ndoa tarehe 25 Nov 1932
Hii imekuwa ni ndoa nyingine iliyodumu kwa muda mrefu huku wanandoa hao wakiwa bado hai na afya nzuri Mwanaume akiwa na miaka zaidi ya 100 na mwanamke zaidi ya 90
Siri yao kubwa ya mafanikio wanasema ni kuelewana na kila mmoja kujua na kukubali tabia za mwenzake huku wakirekebishana taratibu lakini changamoto kubwa aliyokua anaipata Mume wakati wote wa ndoa yao ni swala la mke wake kuwa mvivu wa kupika lakini kwasababu ya mpenzi alimvumilia na waliweza kuishi
Katika Duni Ya sasa nini kinafanya ndoa nyingi kuvunjika mapema
toa maoni yako