D”Banj ni mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ambaye amekuwa na mafanikio makubwa katika maisha yake, yupo katika top 10 ya wasanii wenye mkwanja Afrika pia ni balozi wa Afrika kuhimiza kilimo Afrika, kwa sababu kilimo ndo kila kitu duniani katika maisha ya watu wengi duniani.
Kuna wimbo ambao ulitengenezwa ulioshirikisha wasanii Wengi Afrika Ikiwa ni wimbo wa kuhamasisha Kilimo Afrika, Wimbo huo Ulishirikisha wasanii D’Banj A.Y. (Tanzania), Buffalo Souljah (Zimbabwe), Dama Do Bling (Mozambique), Diamond (Tanzania), Dontom (Nigeria), Fally Ipupa (DRC), Femi Kuti (Nigeria), Judith Sephuma (South Africa), Juliani (Kenya), Kunle Ayo (Nigeria), Vusi Nova (South Africa), Liz Ogumbo (Kenya), Nancy G (Swaziland), Omawumi (Nigeria), Rachid Taha (Algeria), Tiken Jah Fakoly (Cote d’Ivoire), Victoria Kimani (Kenya) & Wax Dey (Cameroon).
Baada Ya Hapo Msanii huyo Amekuwa Akionekana kuhang out sana na matajiri wakubwa Duniani Akiwemo tajiri mkubwa Africa Dangote, Bill Gate, Mo Ibrahim nk
Picha