
Anaitwa Wancy Nelson, ameanza Modeling elfu mbili na kumi,lakini nmeanza rasmi elfu mbili kumi na moja,mpaka sasa amefanya fashion show kumi na tatu,ndani na nje.Baadhi ya show za ndani ni kama lady in red,Maridadi,Dar Fashion Festival,swahili,Tanza Fashion Gala,Vintage Catwalk,Makutano fashion Show na kanga za Kale! Na katika show za nje amewahi kufanya KIGA FASHION Night,kigali na Naivasha fashion out(kenya). Ndoto zake hasa nikufika mbali kupitia uanamitindo(international Model) pia lengo lake kubwa pia ni kuwa na Modeling agency yangu ambayo anaamini itawasaidia wanamitindo wanaochipukia ili nawao wafike mbali…
Wancy akiwa kazini katika onyesho la Mavazi la Lady in Red
Ndoto zake ni kuwa mwanamitindo wa kimataifa na anafanyia kazi kufika huko.
Ukimuhitaji kwa maswala ya uanamitindo tuwasikiane Msangisalma@gmail.com

1 Comment
go wancy go, nakuaminia kinoma.