Waziri Mkuu Wa zamani wa Italy Silvio Berlusconi Amehukumiwa Kufanya kazi za Kijamii kwa kipindi cha mwaka Mmoja na mahakama ya Mji Wa Millan
Waziri Huyo mwenye umri wa miaka 77 anayetajwa kuwa Billionaire Amehukumiwa Adhabu Hiyo baada ya kukutwa na hatia ya Kukwepa Kulipa Kodi mwaka jana ambayo ilitokana na Hati Miliki Ya Tv iliyonunuliwa na Kampuni Yake ya Mediaset Miaka Ya 1990
Hata Hivyo Bado Haijajulikana kamili katika hiyo adhabu yake ya kutumikia jamii atafanya shughuli gani
Bwana Silvio Berlusconi alinusurika kwenda jela kwa case hiyo kwsababu sheria za Italy Zinamlinda mtu aliyezidi miaka 70 kwenda jela