Madaam Madaam Wema Sepetu Bila Kung’ata ng’ata maneno wakati anahojiwa na muandishi wa Gazeti la Amani kuhusu Habari zilizovuja kuwa Safai yake ya China ilikua mahsusi kwaajili ya kufanyia matengenezo ngozi yake (SURGERY) Amekiri huku akisisitiza ni kutokana na kashfa alizokuwa akimwagiwa na wabaya wake kuhusu uharibufu mkubwa wa ngozi yake iliyojeruhiwa kwa Matumizi makubwa ya Kemikali za Kuchubua ngozi (Mk0rogo)
Kwa Mujibu wa Wema Sepetu Mwenyewe zozezi hilo liligharibu kiasi cha Shilingi Milioni 13, Zoezi lililochukua takribani masaa 12 kutokana na taarifa za chanzo cha habari cha gazeti la Amani
katika safari yake hiyo inasemekana Wema aliongozana na ndugu yake mmoja kutoka katika familia ili kuwea kupeleka taarifa nyumbani kwa lolote ambalo lngejitokeza lakini pia aliongozana na Manager wake Martin Kadinda Ambaye pia alikiri kuwa boss wake kama kioo cha jamii ngozi ni swala dogo sana so ilimbidi kufanyia kazi ili kutowakwaza washabik wake
Hongera Maddam Wema Kwa kuwafunga midomo ma hater watafute lingine, sio kuiga tu haya mlioga mkorogo nendeni basi na nyie China Mkabadilishe Mipasuko Hiyo ya ngozi zenu