Ndio wema kawachana live live wale ambao wanaendelea kumchokonoa kwa maneno ili apate kuwajibu awaweke juu kutokana na nyota zao kua hafifu.
sasa anawaambia fanyeni yenu hana muda na nyie mbona kwanza anafurahia maisha yake huku aki fanya yake sasa so fyoko fyoko za nini tena.. au ndio mnatafuta ‘KICK’? maneno ya wema hayo
isitoshe kupitia mtandao wake wa INSTAGRAM ALIFUNGUKA NAMNA HII