
Saa ya mkononi… Ni kitu cha kudumu so itaweka kumbukumbu nzuri. Lakini pia kumkumbusha mpenzi wako kujali muda kwani wakati ni mali.
Dhahabu kama unauwezo… Kitu cha thamani kwa mpenzi wako kinaonyesha ishara ya thamani yake kwako. Zaidi ya hapo ni accet siku mkikwama mnatumia hizo hizo kuwakwamua kimaisha.
Pesa si zawadi nbaya kama umekosa muda wa kununua chochote. Mapenzi si pesa kweli lakini jamani japo kidogooo lol… Tena kibongo bongo hapo ndo umetoa zawadi kuliko zawadi zoteee.
Inapendeza zaidi kumu ingage mpenzi wako siku ya Valentine au hata kumuoa kabisa
Mfano wa kweli.
Kama uwezo upo? Why not.
Kama mie mpenda viwalo wee utanipataa
Mpe muda wako kwa siku hiyo. Mkumbatie mwambie unampenda kaa nae aamini ni yeye pekee kwako ukimpa sababu atajua unamkwepa kwasababu wapo wengi.
