Rais wa China Xi Jiping (Kusho) na Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe
Zimbabwe ina mpango wa kukubali kutumia pesa ya China Yuan kama pesa halali kwa ajilu ya kufutiwa buy cialis online cheap deni la thamani ya dola milioni 40, mchumi mmoja alitabiri uchumi wan chi hauna muelekeo katika wakati ujao.China amekuwa muwekezaji mkubwa nchini Zimbabwe,kitu ambacho kimekuwa kikipingwa sana na na nchi za Magharibi kutokana na rekodi yake ya ukiukwaji wa haki za binadamu huku ikijitahidi kutoka katika kufilisika kiuchumi toka cialis in 24 ore 1999 – 2008 ambayo iliisukuma serikali hiyo kuizika na kushusha thamani tadalafil online ya pesa ya Zimbabwe. Mwaka 2009.Waziri wa fedha wa Zimbabwe Patrick Chinamasa alitangaza mpango huo kupitia maelezo aliyotoa siku ya Jumatatu, alisema matumizi ya Yuan itawezesha biashara kati ya China na Zimbabwe kufanikiwa na kukubaliwa na wateja wa Zimbabwe.Katika miaka mitano iliyopita, Zimbabwe imepokea zaidi ya dola bilioni 1 ikiwa na riba ndogo ya mkopo kutoka kwa China, ambayo ni Harare ya pili kwa ukubwa kibiashara baada ya Afrika kusini.Kutokana na mchambuzi mmoja waxZimbabwe, Yuan tayari imeshakuwa ikitumika kihalali kwa miaka miwili iliyopita na maelezo ya Chinamasa yanaonekana kama yanachanganya tu.“Hakuna linaloonekana kubadilika hata baada ya wanachokifanya” Mchumi John Robertson aliiambia AljazeeraYuan iliingizwa kwenye kwenye kitu kinaitwa multi-currency system miaka miwili iliyopita, hakuna jipya, tofauti hapo ni kuhusishwa na deni,inaonekana kama serikali inajaribu kulivuka hili kwa kukubaliwa na China.Lakini hawataki kuweka ifahamike genericviagra-bestrxonline na ikubalike wazi, kwa hiyo inakuwa haina maana mpaka ilipofikia.China imekuwa ikilaumiwa kwa kulinyonya rasilimali kubwa za bara la Afrika na na nguvu za watu wake wa hali ya chini.Katika kutembelea Harare mara chache Rais wa China Xi Jinping alishuhudia kusainiwa kwa makubaliano 10 ya kiuchumi mapema mwezi huu,ikiwemo mkopo wa dola bilioni kupanua sehemu zaidi Zimbabwe ya kuzalisha tadalafil citrate umeme (Zimbabwe’s largest thermal power plant).“Hakuna mzunguko wa Yuan nchinj,Rand ya Afrika Kusini na dola ya Marekani ndizo zimekuwa zikiongoza katika matumizi ya pesa, kwa hiyo ni hali ya kushangaza kwa sasa na yuan haina muda mrefu ujao” alisema Robertson. Lakini kuwepo kwa Rand na Dolla itahathiri mzunguko wa Yuan na China kupata riba ambayo inategemea, kwa sababu malipo mengi watu wamezoea kufanya malipo kwa rand na dola, lakini serikali ikipitisha Yuan ndo pesa rasmi itafanya vizuri tadalafil citrate na China kupata riba iliyotegemea. Chanzo – Aljazeera