
50 cent aliongea kwa Suge Knight kupigwa risasi kwenye ukurasa wake wa instagram
50 cent alipost picha yake akionekana amevaa suti ambayo inaonekana kwa ndani kuna bullet prrof alisema “
“Suge should have had this on last night. It hurts when a nigga half way kill ya # man down.”
Alimwambia angevaa bullet usiku ule.
Suge Khingt alipigwa risasi mara sita usiku wa jana Jumapili Agosti 24 huko kwenye club ya usiku iliyopo West Hollywood club inaitwa 1-OAK, Polisi wanchunguza waliofanya hivyo na kwanini watu hao walifanya hivyo taarifa za TMZ zimeeleza. Suge alipelekwa hospitali na kufanyiwa upasuaji.
