Tazama vituko na vibwanga vyote hapa vilivyotokea ndani usiku wa 2014 MTV Video Music Awards.
Kuanzia Nicki Minaj performing na kivazi chake cha uchokozi cha rangi ya majanii, Miley Cyrus alipomuambia rafiki yake wa nyumbani kupokea Tuzo yake badala yakeee ,Jay Z na Beyonce walivyokaaa mbali na Solange Arianna Grande na Big Sean walivyoshikana mikono nyuma ya stage na mama mama hips don lie J Lo pamoja na Kim K walivyopeana mabuss ya kumisiana na mengineyooo.