Kwa Mujibu Wa taarifa Mpya Zilizotoka Sasa ni kwamba Afrika kusini Imefunga mipaka yake kwa kwa abiria wanaotoka katika nchi zilizoathirika zaidi na Ugojwa Wa Ebola
Nchi Hizo Ni Pamoja Liberia, Guinea Na Sierra Leone