Ndege ya Algeria imesemekana imepoteza mawasiliano leo Alhamisi karibu saa moja tu baada ya kuruka kutoka Bukina Faso kuelekea Algeria.
Chanzo kutoka katika kampuni ya ndege hiyo kiliiambia AFP kwamba ndege hiyo iliyopotea ilikuwa na watu 110 wa kutoka mataifa tofauti tofauti wakiwemo wafanyakazi 6.
Chanzo hicho kiliendelea kueleza kwamba ndege hiyo ilipoteza mawasiliano wakati bado ikiwa Algeria ikaribia mpakani.
Mwezi Julai 17 serikali ya Bamako na makundi ya kijeshi kutoka kaskazini mwa Mali walizindua maongezi mazito huko Algiers yakilenga kuleta usalama na amani na sehemu za nchi hiyo ambazo zinacheleweshwa migogoro.
Kumekuwa na matukio mengi yanayohusisha ndege kwa kipindi hiki toka ilipopotea ndege ya Malaysia ambayo mpaka leo haijulikani ilipo na juzi ndege nyingine ilisemekana kulipiliwa na magaidi ikiwa angani huko Ukraine na uchuinguzi bado unaendelea.
Air Algeria Yapoteza Mawasiliano Ikiwa Na Wato 110
Related Posts
-
-
Rihanna Na Lewis Hamilton Waongeza Mafuta Kwenye Moto Wa Uvumi Kuwa Ni Wapenzi
-
Polisi Visiwani Zanzibar wamethibitisha kutokea milipuko miwili ya mabomu Jumatatu leo
-
MJINI MAJANGA: jengo la iliyokuwa NBC kichwele zamanu Laungua
-
Tafsiri Ya Alichokihutubia Obama Msiba Wa Rais Mstaafu Wa Afika Kusini Nelson Mandela Jana
-
Hizi Ni Ngoma 10 Kali Za Hip Hop Wiki Iliyoisha
-
Msanii Wa Hip Hop Afande Sele Afiwa Na Mke Wake “Asha”