
Hali imekua mbaya zaidi katika bunge letu Tukufu mpaka kufikia wabunge Halima Mdee wa Kawe na Zitto Kabwe wa Kigoma Kaskazini wote wa Chadema kuandika kupitia kurasa zao za tweeter kuwa kwa jinsi hali ilivo sasa Wanajisikia Aibu Kuitwa Wabunge.
Na hiki ndicho walichokiandika:
Hivi karibuni kumekua kukijitokeza Malumbano kama si Maneno makali yakitumiwa na baadhi ya wabunge wakati bunge likiendelea.
Kwasababu hizo mpaka saaa kuna baadhi ya wabunge wamezuiwa vikao kadhaa kutokana na utovu wa nidhamu.
