Msanii wa kizazi Kipya Bob Junior aliyekua kwenye Ziara ya kimuziki huko bara ulaya, Amemaliza ziara yake na ametua salama nyumbani.
Bob Junior ametumia ukurasa wake wa Facebook kuyasema ya moyoni baada ya ziara hiyo kumamilika.
Na hichi ndicho alichoandika kupitia ukurasa wake wa Facebook
“OOOH ITS OFFICIAL NIMERUDI SALAMA TANZANIA WATU WANGU TNX SO KUCH FANZ WANGU WA EUROPE KWA KILA KITU IN SHAA ALLAH NEXT TIME….DAH MIEZI MIWILI IMEKATIKA KAMA MVUA HA HA HA…ROJO ROJO SASA ZIMWAGIKEHOME SWEET HOME….NIMEWAMITHIJEEEEE?….1 LOVE GUYZ”