Wakati Kim Kardashia Amesherehekea siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 33 aliyekuwa mpenzi wa Amber Rose na Xwife wa WizKhalifa amesherejekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 31 jana usiku huku akiwa amevalia kivazi cha ajabu
sherehe yake ilihudhuriwa na watu maarufu akiwemo Criss Brown Karrueche Tran, na Blac Chyna huko LA.