
Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Taiwo Oluwatobi amekamatwa na polisi akituhumiwa kumdanganya mpenzi wake wa kwenye facebook kwa kumualika nyumbani kwake na kumbaka.
Oluwatobi alikutana na binti huyo mwenye umri wa miaka 24 akijulikana kwa jina moja Temitope kwenye facebook, inasemekana alimualika nyumbani kwake huko Alagomeji, Yaba ili akachukue N15,000 ndipo alipombaka..Punch limeripoti
Tukio inasemekana limetokea nyumbani kwa rafaiki yake mtuhumiwa ambaye ndiye amaepanga apartment hiyo katika mtaa wa Queens, Alagomeji siku ya Jumatatu Novemba 30 na ahapo ndipo ilikuwa wamekutrana kwa mara ya kwanza.
Taarifa zinaeleza kwamba muhanga wa tukio hilo ambae anafanaya kazi kama printer katika eneo la Mushin alimwambia Oluwatobi ambae ambae anaripotiwa walikutana facebook katika ya mwezi Juni 2015 kwamba alihiitaji n15,000 kumaliza deni alilokuwa akidaiwa.
Mtuhumiwa inasemwa kwamba alimualika mwanamke huyo hapo Alagomeji ili wakutane na aweze kuchukua pesa hizo, Temitope inasemwa aliwasili nyumbani hapo mida ya saa 6 mchana na aliondoka saa 8 mchana wakati ambapo Oluwatobi alituhumiwa alimbaka.
Muhanga wa tukio hilo inasemwa alitoa taarifa za tukio hilo kwa Anti-Robbery Squad wa State Department ya Upelelezi wa Jinai. Huko Yaba.
Imejulikana ya kuwa Oluwatobi alimatwa JUmanne Desemba 1.Taarifa za polisi zinasema mtuhumiwa alikuwa ni muhitimu wa chuo kikuu cha Oyo pia alidhaniwa kuwa mwanachama wa BUCCANNEERS CONFRATERNITY.
Imegundilika kwamba polisi pia walimakamata rafiki wa mtuhumiwa Adenuga Adedayo ambaye nyumba yake ndiyo iliyotumika kufanyika tukio hilo.
Akiongea na PUNCH Metro, Oluwatobi, ambae ni mpishi anasema walifanya mapenzi lakini walikubaliana na Temitope na kuongeza kwamba alimuona mwanamke huyo wakati alipokuwa akirudi nyumbani anasema alishtushwa kwamba aliripoti polisi kwamba amembaka.
Alisema :tulikutana kupitia facebook miezi kadhaa iliyopita, tulianaza kuongea kwa njia ya simu, siku ile ilikuwa ni siku ya kwanza na tulifanya mapenzi, anafanya kazi ya kuprint na anakaa eneo la Mushin.
