Picha huwa zinapewa tuzo, lakini pia ni changamoto kupata shot nzuri, ni ngumu zaidi ya unavyowaza wewe, hata kama hiyo picha umeipata kwa bahati mbaya, picha zilizopatikana kwa bahati mbaya lakini nzuri, haijafanyiwa editing yeyote hufanyiwa makala na kusherekewa. Baada ya yote huwa picha za wakati wote ambayo kila mtu akiiona anasema kweli, kwa sababu huwezi kuipiga tena.
Picha nyingi ambazo zinakuwa zimepatikana kwa bahati huzunguka kwenye mitandao na kila mtu huto maoni yake huku ikisifiwa…Angalia hizi picha 50 nizatofauti kabisa….
Angalia Hizi Picha 53 Hazijapigwa Kwa Kupanga Zimetokea Tu Na Kuwa Kivutio
Previous Story
Kitumbo Cha Kim Kardashian Kinazidi Kukuwa
Next Story
Kylie Jenner Amaliza High School
Related Posts
-
-
Komando Jide Awa Mwana karate, Tazama Picha Akiwa Zoezini
-
Papa Francis Aomba Amani
-
Mtanzania Levada Atolewa Big Brother Africa Hotshots
-
INTERCOLLEGE BEACH BONANZA @MBALAMWEZI BEACH
-
Kivazi Cha Mpenzi Wa Zamani Wa Cristiano Ronaldo Chaleta Utata After Party Tuzo Za Oscar
-
Ugojwa Wa Ebola Waingia Congo, Wawili Wathibitishwa Kufariki