Enjii akiwa katika kipindi cha SunDowner cha magic Fm akitambulisha wimbo wake
Msanii wa kizazi kipya Enjii alietamba na kibao chake cha My Boo amekuja kivingine baada ya ukimya wa mda mrefu akiwa masomoni.
Enjii ameamua kubadili herufi za jina lake ili liweze kushika kwa haraka kwa mashabiki wake kwa kuamua kuliandika kama linavyotamkwa yaani (kiswahili) badala ya mnyambuliko wa kiingereza ANGERIS.
Ssebo wa Magic Sundowner akim Interview Enjii
Enjii na Musa kipanya wa Magic Sundowner
Ngoma inaitwa – Bora Niende
//