Repa anayetokea pande za Harlem ASAP ROCK amefunguliwa kesi kwa kumshambulia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Lisamarie Wade, ambae anamshataki ASAP ROCK jina halisi Rakim Mayers memba wa ASAP MOB alimpiga kibao dada huyo kwenye tamasha la America Festival huko Philadelphia mwaka 2013.
ASAP alisimama mbela ya dada huyo akageuka na kurusha kibao kilichompata Wade kwa nguvu sawia upande wa kushoto wa uso wake, Rocky alimpiga kwa kutumia nguvu sana pigo lilisababisha mwanadada Wade aanguke na kutojielewa kwa muda Fulani inaeleza kesi hiyo.
Wade pia anawatuhumu memba wengine waliokuwepo na ASAP kwamba walimsukuma, anawashtaki watu hao ikiwemo Live Nation Entertainment, Roc Nation na John Doe security.
Asap Rock Ashtakiwa Kwa Kosa La Shambulizi
Previous Story
Memba Wa Zamani Wa Destiny Child Atiwa Mbaroni
Related Posts
-
-
Hakuna Mtu Aliyekamilika,Stella Damasus Asimama Kumtetea Steve Harvey
-
Huddah Achanganya habari Kifo Cha Paul Walker wa Movie ya Fast & Furious,Marehemu Alifrahia kifo Chake
-
Huyu Ni Mtu Aliyeacha Kuishi Kama Mtu Na Kuishi Kama Mbuzi
-
Wazazi Wagombania Kumuua mtoto Wao
-
OBAMA AFANANISHWA NA SHETANI
-
Baada Ya Kaka Wa Nick Minaj Kukamatwa,Dada Mtu Amtolea Dhamana