
Baada Ya mchekeshaji wa marekani Kevi Hart kuonyesha picha akimchumbia mpenzi wake wa siku nyingi ambaye ndio alikua ana cheat nae wakati akiwa na mkewe Torrei Hart,
HatiMae Mke wake huyo amejibu mapigo na yeye kwa kumuonyesha jamaa yake wa sasa walipotoka pamoja katika party ya VH1 show Atlanta Exes
Mapicha tena hapa
