
Mwanamuziki wa Marekani Mwenye asili ya Kisiwa cha Barbados Mpenda Kukaa Uchi Rihanna Amekutana Na mwanasoka mkongwe Wa nchini Brazili Pele Huko Brazili baada ya kutua nchini humo ijumaa ya 11july mjini Rio De Jeneiro kwa ajili ya kushuhudia fainali za kombe la dunila linalotarajia kufanyika leo nchii humo
Shakira Ndio msanii aliyepangwa ku parform katika fainali hizo huku Rihana akiwa tu ni mgeni mualikwa anayetarajia kushuhudia atakachokifanya mwezie shakira na fainali hizo kati ya Ujerumani na Argentina
