
Mmarekani Bilionea Ambaye ni mfanya biashara amekuwa moja kati ya mamilioni ya watu ambao wamechukulia adhabu ya mwanariadha mwenye ulemeavu Oscar Pistotius kuwa imekuwa nyepesi baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka mitano katika hukumu iliyotoka leo baada ya kumpiga risasi mpenzi wake Reeva
Baada ya hayo hiki ndicho alichoki andika Donald Trump katika ukurasa wake wa Tweeter
Siku kadhaa zilizopita bilionea huyo alimtusi Rais Obama baada kutozuia wasafiri kutoka africa Magharibi kuingi nchibi Marekani
Alitweet
