Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa tv strar Kim Kardashia katika mitindo ya nguo zake anazopenda kuvaa utagundua aina hii ya skirt ambayo inabana na kuvuka magoti ndio anayopendelea zaidi na hata akivaa magauni basi yatakua katika mtindo huu huku upande wa juu iwe ni top au ni gauni ya moja kwa moja itakuwa imeziba shingo (pullNeck)
Mtazame tena hapa kwa jinsi alivyoichora shape yake kwa kivazi hiki, nadhani Kim amegundua huu ndio mtindo unaompendeza zaidi
hata wewe ni vizuri ukajitambua mwili wako na kujua jinsi ya kwendana nao katika mitindo ya mavazi yako