
Ngoma imekua nzito kwa mapenzi ya rapper Future na Mpenzi Wake Ciara Hii na baada ya kuwa na tetesi kuwamba Future anamahusiano na moja kati ya wanawake aliozaa nao Hayo yamebainika baada tu ya Wachumba hao kupata mtoto wao wa kiume hivi karibuni, maskini Ciara alifikiri kuzaaa ndio kumkamata mwanaume akasahau ya kwamba mwanaume huyo tayari alishawahi kuzaa watoto wawili nje bila kuoa
Anyway Ciara Anafanya Tetesi za kutaka kuachana kwao kuwa za kweli baada ya baada ya kupost picha kupitia ukurasa wake wa InstaGram Akiwa bila Pete yake ya uchumba kidoleni zaidi ni pale aliposhare kijembe hiki kupitia ukurasa wakwa insta
