Najua kwamba karibu kila mwanaume anadhani yeye anaongoza kwa stahili wakati wa kufanya mapenzi, lakini wote tutakubali kwamba tunaweza kuwa tunafanya kitu sio sahihi. Hakuna njia nzuri ya kuimarisha uwezo wako zaidi ya kujifunza kupitia makosa yako.
Kama wewe ni mtu ambae unahitaji kupata mpenzi, au mtu aliyeoa unatafuta kuongeza kidogo kiungo katika maisha yako ya mapenzi, haya hapa makosa 12 mabaya ambayo wanaume wanafanya wakiwa kitandani na wapenzi wao na nini unaweza kufanya kuziepuka.
Na Uhakika utapata angalau makosa 4 hapa zinakuhusu kutoka makosa 12!!
Kosa La 12 – Hakuna maandalizi.
Katika kura nyingi zinazopigwa na wanawake katika utafiti mingi inayofanywa utagundua hili lipo sana, wanalalamika kuhusu wanaume hawatumii muda kuwaandaa, yani michezo fulani kabla ya tendo lenyewe, Pia kufanya haraka inafurahisha lakini ni muda hadi muda, wanawake wengi wanaeleza tofauti na hivi.
Kwa hiyo, unatakiwa utumie hata dakika 10 – 15 kwa kumuandaa mwanamke vizuri kabiisa (Foreplay) nah ii itahusisha vitu vyote ambavyo mpenzi wako anavipenda:
- Kumpapasa sehemu muhimu anazopenda ili akili yake na mwili viwe tayari.
- Jaribu kumtumia meseji za mapenzi kuandaa akili yake kwa ajili ya tendo hilo na kumtumia hata meseji chafu, unaelewaaa LOL!
- Ongea uchafu kuinua hisia zake za mapenzi.
Weka kichwani: itakuwa kitu maalum kifanyike ili kuweka hisia zake za kimapenzi sawa, unaweza ukajaribu hata njia nyingine zaidi wakati wa kumuandaa yani mautundu yazidi.
Kosa La 11 – Uwezo mdogo wa kuvua nguo
Wanaume watatakiwa wajue kumfanya mtu awe na hali ya kutaka kufanya mapenzi ni muhimu kwa kila mwanamke ambae unaenda kufanya nae mapenzi, Ingawa wachache wetu tunagundua kwamba unaweza pia ukapoteza hisia kwa uwezo mdogo wa kumvua nguo mpenzi wako.
Usikate tama, nakwenda kukwambia au kukupa ushauri jinsi ya kulifanya hili ili umalize tatizo hilo:
- Kosa namba 1 wanalofanya wanaume wengi tunavua nguo alafu tunaacha kuvua soksi.
- Hakuna kitu kibaya kama mfano wakati unamvua nguo ikiwemo bra na nguo nyingine unakuwa una haraka mara umevunja kifungo, au umechana nguo au unaharibu nguo yake hata clip za kubana nguo.
- Kuwa muangalifu wakati ukimtoa panties mtoe kwa njia kama unacheza taraatibu na kumuonyesha kinachofuata.
Usisahau hili: Unaweza ukaanza kufungua pant yake kwa kutumia meno yako lakini utahitaji msaada wa mikono yako kwa mbali mpaka uhakikishe imeshuka chini ya her ass. LOL
KOSA LA 10 – USAFI WA MWILI
Kwa bahati mbaya jitahidi ufanye haya kuepuka makosa haya 12 yanayofanywa na wanaume, wakati wakiwa kitandani:
- Oga kila siku
- Tumia manukato mazuri ya wanaume
- Nyoa ndevu, mustachi na nywele za kwenye kikwapa.
- Pata msaada wa saluni wanazonyoa watu wengi.
Pay Attention: Kuwa na kichaka huku chini pia ni ishu, kwa hiyo,kila wakati hakikisha haunuki jasho, hautoi harufu mbaya na kupunguza nywele za mwilini.
Kosa La 9 ni kuwa kimya na kuonyesha uso usio na hisia kama robot
Kuwa kimya wakati wa kufanya mapenzi (labda mwenzako awe amekuomba uwe kimya) ni njia ya haraka kumfanya mpenzi wako ajisikie kwamba yeye sio mtamu au anachokufanyia hukipendi. Wanawake wengi wanalalamika juu ya hili kwa hiyo usipuuze.
Kila mara wanahisi wanafanya mapenzi na robot ambae hana hisia na pia najua usingelipenda hili, kuna mambo machache unatakiwa kuyafanya kama unataka kumaliza tatizo hili:
- Jaribu kutoa sauti kama anafanya kitu unachokipenda.
- Onyesha hisia zako kupitia uso.
- Msifie taratibu kwa sauti ya chini na ya upole kama anafanya kitu unakipenda.
Kosa la 8 – Usiwe kiongozi wakati wa kufanya mapenzi
Katika matukio mengi, wanawake wanataka wawe wanaongoza na kuwa na mpenzi ambaye ana nguvu,zaidi akionekana akiongoza katika mahusiano yako, Kuwa kimya sana wakati wa kujamiana hakuna sauti zozote zinazoonyesha kwamba mnafurahiana ndio sababu ambayo mara kwa mara inapelekea mahusiano kuanza kufifia
Unaweza ukamaliza matatizo hayo kirahisi kama utafuata yafuatayo:
- Amini uwezo wako wa kufanya mapenzina utumie dondoo hizi ufikie hali ya juu kujisikia wewe ni bora.
- Jaribu kuwa na sifa hizi kama mwanaume bora zaidi.
- Muongoze kwa kumwambia kitu gani unakwenda kumfanyia wakati unakwenda kumfanyia.
- Mwambia nini utapenda kutoka kwake na uchukue mikono yake na upeleke unapotaka iwepo.
Weka kichwani hili: Ingawa muda unavyozidi kwenda,kila mwanamke atataka kuongoza na kukuendesha kufikia kileleni, hii haitakuwa kawaida, mwanaume ndio kazi yake kuwa kiongozi wakati wa kufanya mapenzi.
Kosa La 7 – Kuficha Unachokiwaza kuhusu mapenzi
Wanawake wengi wanalalamika kwamba maisha yao ya mapenzi yanaangukia katika mzunguko na kwamba wapenzi wao hawaji na aina nyingine ya kufanya mapenzi. Kwahiyo kwanini ushirikiane na mwenzio kile unachokifikiria kikiwa ni maalum tena mkiwa katika mahusiano ya siku nyingi.
Ukitaka kumaliza tatizo hilo fanya yafuatayo:
- Kuwa muwazi na mkweli kwa maongezi tena mkiwa mpo kwenye mahusiano siku nyingi.
- Unaweza hata ukajaribu kumwambia unayowaza na uone jinsi atakavyopkea, kama akipenda, kila wakati unaweza ukawa unaifanya kama utani.
Pay Attention: Unaweza ukapata mengi ya kuvutia kutoka kwenye mapenzi ya aina hii, au unaweza ukajaribu aina ya mapenzi haya, huwezi jua wote mnaweza kupenda mpaka pale mtakapojaribu.
Kosa La 7 – Kukimbilia Kuingiza Kitu Yako Ndani Yake
Kitu kingine ambacho wanaume wanafail mara kwa mara na kinauzi wanawake wengi sana na ni kweli, ni kile tunachokitaka tu ni kuingiza kitu yetu kwenye vagina yake kwa haraka iwezekanavyo. Ingawa, hili mara kwa mara linapelekea kwenye maumivu na kuingia kwa shida na hiyo inamuondoa kabisa katika hisia za mapenzi.
Kwa hiyo basi itatakiwa ufanaye yafuatayo:
1.Mvue nguo taratibu kwa utaratibu na kumuonyesha nini kitafuata
- Pandisha hisia za mwili wake kwanza mpaka awe tayari.
- Mchezee matiti yake na chuchu.
- Jaribu kumtania na kumchezea sana mpaka uhakikishe amekuwa wet.
Weka kichwani: Hakuna kitu kitamuondoa katika hisia za mapenzi haraka kama ukiingiza kwa nguvu akahisi maumivu.
Kosa La 5 – Kufika kileleni haraka
Kila mwanamke atakwambia kwamba kwamba kama hauna nguvu ya kutosha kufanya wote wewe na mpenzi wako mkawa na furaha mkiwa kitandani, basi takwenda kupitia mambo magumu kwenye mahusiano yenu muda si mrefu au baadae.
Kwa hiyo basim inatakiwa ujifunze kukaa muda mrefu bila kufikia kileleni hara iwezekanavyo, kuna njia nyingi kufanya ukae muda mrefu bila kufika kileleni kwa haraka:
- Stamina na condoms zinazokufanya huhisi raha kwa haraka.
- Spray za kufanya unakuwa kama umekufa ganzi lakini uume ukiwa umesimama.
- Edging technique
Pay Attention: Niamini, kama unatatizo la kufika kileleni haraka, inatakiwa unafanya juu chini umalize tatizo hilo au atachukuliwa na watu wengine au atakuwa anakudanganaya lakini anagongwa na watu wengine pia.
Kosa La 4 – Kujaribu Mikao Miiiingi.
Wanawake wanachukia kubadilisha badilisha mikao mara kwa mara wakati wa kufanya mapenzi, utakapoacha kubadilisha, unapobadilisha mkao, raha anayojisikia hushuka kwa haraka sana hadi hali ya kawaida, sio hivyo tu, mikao ambayo hajisiki raha na angles mbaya zinaweza kumuondolea kabisa hisia, kwa hiyo usijifikirie wewe tu kubadilisha mkao ili usikie raha zaidi bila kujali mwenzako hapo alipo ndipo anasikia raha zaidi.
Huu hapa ni ushauri:
- Jiweke labda utabadilisha mikao mara 3 tu wakati wa tendo moja.
- Kila wakati chagua mikao miwili tu ambayo anaipenda na moja ambayo ni mpya na kali sana.
- Ya kuanzia na kumalizia zote ziwe staili ambazo anazozipenda na kati ya tendo unaweza ukampa staili mpya,
Kosa La 3 – Kupuuza anachokisema na Vitu anvyoonyesha kwa matendo.
Huu ni mfano mwingine ambao unaonyesha kwanini mawasiliano ni muhimu sana, kwa wapenzi wengi, tendo la ndo linakuwa sio active kwa sababu ya ukosefu wa kujaribu, lakini kwa sababu mmoja anashindwa kuelewa viashiria mwenzake anavyoonyesha.
Tuwe waaminifu kwa kila mmoja wetu
Hii inakuwa kwa wanaume sana kwa sababu pia ya ubabe na mfumo dume, lakini kama unaweza kugundua hili kidogo, hautakuwa na shida kumaliza tatizo hili, wakati unamfurahisha angalia vitu vyake kama:
- Toa milio na kuonyesha unaridhika kwa milio kama Oooh!! Baby! Oh Yes!
- Jikunje kwa nyuma yake huku ukimpapasa.
- Mcheze maziwa na kumbusu kwenye mashavu kila mara.
- Nyonya chuchu zake.
Weka kichwani: Hizi ni baadhi tu ya dalili kwamba anafurahia unachokifanya, kama unajiongeza zaidi,utaweza kumpa penzi zuri kabisa.
Kosa La 2 – Kurudia rudia jambo ambalo halipendi
Tena, kusema ukweli ni muhimu, jaribu mkao mwingine na ndio, kubadilisha mikao tofauti tofauti wakati ikimuandaa inaweza kusaidia kufanya mambo poa kila mara.
Just apply these 5 tips and you will see a significant change:
Kufanya mambo haya matano utaona mabadiliko makubwa:
- Hama kitandani hadi kwenye kochi au jikoni.
- Jaribu kufanya mapenzi sehemu ya wazi ambayo watu wengi huenda au hata kwenye gari.
- Uwe unabadilika badilika na uwe natural.
- Tumia vifaa vya wanawake wanavyotumia kufanya navyo mapenzi (sex toys).
- Fanya kama unamkunja hivi huku ukimsikiliza kama anapenda au hapendi mawasiliano ni muhimu hakuna ubabe.
Pay Attention: Kuna mikao mingine ambayo inakufanya uweze kuingiza kitu yako ndani zaidi, kwa hiyo utatakiwa umsikiliza anavyolia jinsi unavyozidi kwenda ndani matokeo yake utagusa kizazi na hiyo mara nyingi huleta maumivu .
Kosa La 1 – Kuupuza sehemu sehemu anazopenda kuguswa
Wanawake wengi huelezea chuki zao kwa wanaume ambao wao wanatazama matiti tu na kisimi na kutoleta hisia kwenye sehemu nyingine pia, Kuna njia moja tu rahisi kumaliza hili
Unachotakiwa kufanya, chukua muda wako na uchunguze anapenda nini!
Weka Kichwani: Kwa kuanza, unaweza ukachnguza sehemu muhimu na jarabisha, inatakiwa uone dalili, mwenyewe unaweza ukaona anajishika hapo lazima utumie akili kumuangalia na kumchunguza na ugundue sehemu amabazo ukimgusa unamleta kwenye mchezo akiwa full tayari.