Katika Hali Inayoonyesha Dhahiri Mzazi huyu amesimama upande wa mwanae katika swala la kuvunjika kwa ndoa yake na mkewe Marah Carey Jana usiku Baba mzazi wa Nick Cannon, James Cannon Alipost Maneno kadhaa yaliokuwa katika mtindo wa maswali, maneno ya kimahusiano kupitia ukurasa wake wa facebook
Kwa maneno yake na ukiiangalia Couple yenyewe ilivyokuwa unaweza kutafriri Ni kama vile aliyaweka dhahiri madhaifu ya mkwe wake hadharani kwa kutumia mafumbo ukizingatia baba na mwana siku zote huzungumza, hivyo inawezekana Nick Alikuwa anashare mambo ya mkewe na baba yake
Lakini baada ya Mashabiki Wa Mariah Carey kumshambulia kwa kuona kabisa amefanya jambo ambalo si la busara, Mzazi huyo wa kiume Wa Nick Cannon Alijetetea kwa kwa kuandika post nyingine inayosema eti maneno hayo ni nukuu kutoka katika kitabu chake alichokiandika miaka mitatu iliyopita
PICHA LIMEISHA