
Wakali hao wamekuwa wakipeana makavu kupitia mitandao ya kijamii, ingawa Ja Rule anakubali kwamba 50 Cent alishinda beef hiyo ya miaka 10 iliyopita, marapa hao wanaotokea New York kwa mara nyingine wamefufua beef yao jana Jumanne Agosti 4 kwa kushambuliana kwenye mitandao ya kijamii.
“Oh I herd what you said on the power 105 morning show, you fu