Yule Bibi mkosoa watu na mnanga mastar kwenye ma red Carpet mbalimbali katika kituo cha luninga cha E Entertainment Ya marekani Joan River Yu mahututi
Mchekeshaji Huyo na mtangazaji Mzee anayeupenda ujana alikimbizwa hospitali huko Ney York Mchana wa leo baada ya kuacha kupumua wakati akifanyiwa Upasuaji wa koo
Bibi Rivers, 81, alikua akipata huduma hiyo ya upasuaji katika clinic moja ndipo alipoacha kupumua ghafla hatimae kuwahishwa katika hospitali ya Mount New York ambapo taarifa ni kwamba yupo katika hali mbaya
Baada tu ya moyo kusimama wakati upasuaji unaendelea ndipo simu ya msaada wa dharura 911 ilipopigwa na ilisema ,
“We have somebody in either cardiac or respiratory arrest.”
Mtandao Wa TMZ umesema haikuwekwa wazi kuwa kama madokta walirestart moyo wake.