Rihanna Afurahia Picha za utupu Alizopiga kwa ajili ya ku Cover jarida la Vogue Brazil, Rihanna amesema hajawahi ku enyoy uchukuaji picha kama huu kabla.
Amefurahia sana na amependa zoezi zima la uchukuaji picha lilivyokwenda na kwamba ali enjoy than ever
Rihanna Amashare Picha Hizi Kwenye ukurasa wake wa Instagram japo picha hizi ilishatolewa hapo kabla
Picha hizi ni kwa ajili ya jarida la Vogue Brasil La mwezi May